Usajili wa Dereva
Sajili bodaboda wa Kigoma. Admin atahakiki NIDA, leseni na selfie kabla ya kukuidhinisha.
Mfumo huu unaomba kitambulisho, leseni na selfie photo. Admin ata-verify kwa macho kuwa selfie, kitambulisho na leseni vinafanana kabla ya approval. NIDA imewekewa ukaguzi wa tarakimu 20, na leseni imewekewa ukaguzi mkali zaidi.