Mfumo wa web unaofanya kazi kama app kwenye simu au PC. Abiria anaona boda wa karibu, anaomba ride, anachati na dereva, na bei pamoja na majira ya usiku vinapatikana automatic.
Bofya Install App juu ya mfumo ili uweke shortcut kwenye home screen.
Abiria na dereva wanaweza kupeana maelekezo ya ziada kuhusu mzigo, chakula au pickup point.
Ramani ya pickup, dropoff na boda za karibu imeongezwa kwenye upande wa abiria na dereva.